Shalom Broz Productions ikishirikiana na Makampuni matatu ya Energy Master, Age Parfect
na Challenger yanakuletea nafasi za kazi kwa vijana wasio na ajira au wanaotaka ajira za ziada
(Part time job). Semina ya mafunzo ya kazi hii itatolewa Pale Alharamain Sekondari Kariakoo.
inatazamana na Benjamen Mkapa Sekondari na Shule ya Uhuru. Saa mbili asubuhi siku ya
Jumamosi ya tarehe 19/05/2012.
Anayependa kupata Fursa hii afike katika semina hii fika saa mbili asubuhi ukiwa na vitu
vifuatavvyo bila kukosa.
1. Barua kutoka Serikali za Mitaa, inayoonesha kuwa wewe ni mkaazi wa eneo hilo
2. Kadi ya kupigia kura.
Vijana wenye umri wa miaka 18 hadi 28 wanahitajika zaidi.
Hakuna kiingilio.
Kwa mawasiliano na maelezo zaidi tafadhali piga namba zifuatazo
0718 817706 au 0784494906 Eneza
na 0713 977277 Tawale









No comments:
Post a Comment